Shinichiro Tomonaga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Shinichiro Tomonaga
Tuzo Nobel.png

Shinichiro Tomonaga (31 Machi, 19068 Julai, 1979) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza nguvu za umeme na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1965, pamoja na Richard Feynman na Julian Schwinger alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shinichiro Tomonaga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine