1906
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | ►
◄◄ | ◄ | 1902 | 1903 | 1904 | 1905 | 1906 | 1907 | 1908 | 1909 | 1910 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1906 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1906 MCMVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5666 – 5667 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1898 – 1899 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1355 ԹՎ ՌՅԾԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1324 – 1325 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1284 – 1285 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1961 – 1962 |
| - Shaka Samvat | 1828 – 1829 |
| - Kali Yuga | 5007 – 5008 |
| Kalenda ya Kichina | 4602 – 4603 乙巳 – 丙午 |
- 4 Februari - Dietrich Bonhoeffer, mwanateolojia nchini Ujerumani
- 31 Machi - Shinichiro Tomonaga (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965)
- 13 Aprili - Samuel Beckett (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1969)
- 19 Juni - Ernst Boris Chain (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945)
- 28 Juni - Maria Goeppert-Mayer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963)
- 2 Julai - Hans Bethe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1967)
- 23 Julai - Vladimir Prelog, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1975
- 4 Septemba - Max Delbruck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 6 Septemba - Luis Leloir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1970
- 30 Oktoba - Archibald Jordan, mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini
- 18 Novemba - George Wald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 10 Desemba - Ferdinand Alquié, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 25 Desemba - Ernst Ruska (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1986)
bila tarehe
- Nicholaas Louw, mwandishi wa Afrika Kusini
Waliofariki [hariri]
- 7 Desemba - Elie Ducommun (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1902)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: