8 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1720 - Sakuramachi, Mfalme Mkuu wa 115 wa Japani (1735-1747)
Waliofariki [hariri]
- 1537 - Mtakatifu Jeromu Emilian, padre kutoka Italia
- 1725 - Tsar Peter I wa Urusi
- 1918 - Louis Renault (mwanasheria Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1907)
- 1957 - Walther Bothe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954)
- 1975 - Robert Robinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1947
- 1979 - Dennis Gabor (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1971)
- 1998 - Halldor Laxness (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1955)