5 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1265 - Uchaguzi wa Papa Klementi IV
- 1977 - Kuundwa kwa Chama cha Mapinduzi, chama tawala cha Tanzania
Waliozaliwa [hariri]
- 1564 - Galileo Galilei, mwanafalaki kutoka nchi ya Italia
- 1914 - Alan Hodgkin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 1965 - Gheorghe Hagi, mchezaji wa mpira kutoka Romania
Waliofariki [hariri]
- 1597 - Mtakatifu Paulo Miki, mfiadini nchini Japani
- 1967 - Violeta Parra, mwimbaji na mwanasiasa wa Chile (alijiua)