22 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1288 - Uchaguzi wa Papa Nikolasi IV
Waliozaliwa [hariri]
- 1732 - George Washington, Rais wa kwanza wa Marekani
- 1788 - Arthur Schopenhauer, mwanafalsafa wa Ujerumani
- 1810 - Frédéric Chopin, mtunzi wa muziki kutoka Poland
- 1914 - Renato Dulbecco (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975)
- 1921 - Jean Bedel Bokassa, Rais (1966-76) na Kaisari (1976-79) ya Jamhuri ya Afrika ya Kati
- 1936 - Michael Bishop (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1989)
- 1984 - Shukuru Kilala, muigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 606 - Papa Sabinian
- 1512 - Amerigo Vespucci, mpelelezi kutoka Hispania
- 1903 - Hugo Wolf, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 1952 - Kaarlo Juho Stahlberg, Rais wa Ufini
- 1987 - Andy Warhol, msanii kutoka Marekani
- 2002 - Jonas Savimbi