7 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1550 - Uchaguzi wa Papa Julius III
Waliozaliwa [hariri]
- 1478 - Mtakatifu Thomas More, mwanasheria kutoka Uingereza
- 1812 - Charles Dickens, mwandishi maarufu Mwingereza
- 1885 - Sinclair Lewis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1930)
- 1905 - Ulf von Euler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 1985 - Tegan Moss, mwigizaji kutoka Kanada
Waliofariki [hariri]
- 590 - Papa Pelagio II
- 1878 - Papa Pius IX
- 1937 - Elihu Root (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1912)
- 2007 - Alan MacDiarmid, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000