Papa Pelagio II
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Pelagio II alikuwa papa kuanzia 26 Novemba, 579 hadi kifo chake tarehe 7 Februari, 590. Alimfuata Papa Benedikto I. Alikufa na tauni iliyofika mji wa Roma mwisho wa mwaka 589.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Pelagio II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Pelagio II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |