Papa Pius IX
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Pius IX (13 Mei, 1792 – 7 Februari, 1878) alikuwa papa kuanzia 16 Juni, 1846 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Maria Mastai-Ferretti. Alimfuata Papa Gregori XVI (-).
Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Pius IX katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |