Papa Benedikto XIII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Benedikt XIII

Papa Benedikto XIII (2 Februari 164921 Februari 1730) alikuwa papa kuanzia 29 Mei 1724 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Francesco Orsini. Alimfuata Papa Innocent XIII akafuatwa na Papa Klementi XII.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Papa Benedikto XIII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki


Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.