Papa Marinus I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Marinus I alikuwa papa kuanzia 16 Desemba, 882 hadi kifo chake tarehe 15 Mei, 884. Alimfuata Papa Yohane VIII.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Marino I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Marinus I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |