Papa Gregori XI
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Gregori XI (takriban 1336 – 27 Machi, 1378) alikuwa papa kuanzia 30 Desemba, 1370 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre Roger de Beaufort. Alimfuata Papa Urban V.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Gregori XI katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |