Papa Pius V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Pius V

Papa Pius V (17 Januari 15041 Mei 1572) alikuwa papa kuanzia 7 Januari 1566 hadi kifo chake. Alimfuata Papa Pius IV akafuatwa na Papa Gregori XIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Antonio Ghislieri.

Baadaye alijiunga na shirika la Wahubiri.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Papa Pius V katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.