Papa Benedikto XIV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Benedikt XIV (31 Machi, 1675 – 3 Mei, 1758) alikuwa papa kuanzia 17 Agosti, 1740 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Prospero Lorenzo Lambertini. Alimfuata Papa Klementi XII.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Benedikto XIV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto XIV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |