Papa Benedikto II
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Benedikto II alikuwa papa kuanzia 26 Juni, 684 hadi kifo chake tarehe 8 Mei, 685. Jina la baba yake lilikuwa Yohane. Alimfuata Papa Leo II.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Benedikto II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |