Papa Paulo III
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Paulo III (29 Februari 1468 – 10 Novemba 1549) alikuwa papa kuanzia 13 Oktoba 1534 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alessandro Farnese. Alimfuata Papa Klementi VII akafuatwa na Papa Julius III.
Viungo vya nje [hariri]
Papa Paulo III katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Paulo III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |