Papa Pius XI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Pius XI ofisini

Papa Pius XI (31 Mei 185710 Februari 1939) alikuwa Papa kuanzia 6 Februari 1922 hadi kifo chake.

Alimfuata Papa Benedikt XV na kuvishwa taji 12 Februari 1922. Akafuatwa na Papa Pius XII.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Alitoka nchi ya Italia. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Achille Ambrogio Damiano Ratti.

Kabla ya kuchaguliwa kama Papa, alikuwa askofu mkuu wa Milano (tangu 1921).


Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Pius XI.jpg