Papa Pius II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Pius II

Papa Pius II (18 Oktoba, 140514 Agosti, 1464) alikuwa papa kuanzia 19 Agosti, 1458 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Enea Silvio Piccolomini. Alimfuata Papa Callixtus III.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.