Papa Vitalian
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Vitalian alikuwa papa kuanzia 30 Julai 657 hadi kifo chake tarehe 27 Januari 672.
Jina la baba yake lilikuwa Anastasius, kutoka Segni, Lazio, Italia.
Alimfuata Papa Eugenio I akafuatwa na Papa Adeodato II.
Anaheshimiwa kama mtakatifu. Kanisa Katoliki linaadhimisha sikukuu yake tarehe 27 Januari, lakini Waorthodoksi tarehe 23 Jualai.
Viungo vya nje[hariri]
- Kuhusu Papa Vitalian katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
Chisholm, Hugh, ed (1911). "Vitalianus". Encyclopædia Britannica (11th ed.). Cambridge University Press.
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Vitalian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |