Papa Gregori XVI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Gregori XVI

Papa Gregori XVI (18 Septemba, 17651 Juni, 1846) alikuwa papa kuanzia 2 Februari, 1831 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bartolomeo Alberto Cappellari. Alimfuata Papa Pius VIII.

[hariri] Viungo vya nje

Papa Gregori XVI katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori XVI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.