Papa Yohane XIX

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Yohane XIX

Papa Yohane XIX alikuwa papa kuanzia 1024 hadi kifo chake mwezi wa Oktoba 1032. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Romanus. Alimfuata Papa Benedikto VIII.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XIX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.