Papa Leo VII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Leo VII alikuwa papa kuanzia 3 Januari, 936 hadi kifo chake tarehe 13 Julai, 939. Alimfuata Papa Yohane XI.
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |