Papa Paulo IV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Paulo IV (28 Juni, 1476 – 18 Agosti, 1559) alikuwa papa kuanzia 23 Mei, 1555 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Pietro Carafa. Alimfuata Papa Marcello II.