Papa Zephyrinus
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Zephyrinus alikuwa papa kuanzia takriban 199 hadi kifo chake tarehe 20 Desemba, 217. Alimfuata Papa Viktor I.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Zephyrinus katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Zephyrinus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |