Papa Miltiades
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Miltiades alikuwa papa kuanzia tarehe 2 Julai 311 hadi kifo chake tarehe 10 au 11 Januari 314.
Alimfuata Papa Eusebius akafuatwa na Papa Silvester I.
Kadiri ya Liber Pontificalis, Miltiades alitokea Afrika, ingawa McBrien anasema aliweza kuwa mtu wa Roma.[1]
Maandishi yake [hariri]
Tanbihi [hariri]
- ↑ Richard P. McBrien, Lives of the Popes, (HarperCollins, 2000), 56.
Viungo vya nje [hariri]
| Wikisource has the text of the 1911 Encyclopædia Britannica article Melchiades. |
- Kuhusu Papa Miltiades katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Historical "Gift of Constantine": Journal Article Concerning Miltiades and Constantine
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Miltiades kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |