Papa Yohane II
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Yohane II alikuwa papa kuanzia 2 Januari, 533 hadi kifo chake tarehe 8 Mei, 535.
Alimfuata Papa Boniface II akafuatwa na Papa Agapeto I.
Viungo vya nje[hariri]
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |