Papa Yohane XV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Yohane XV alikuwa papa kuanzia mwaka wa 985 hadi kifo chake mwezi wa Aprili 996. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa pia Yohane. Alimfuata Papa Yohane XIV.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Yohane XV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |