Papa Eusebius
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Eusebius alikuwa papa kwa miezi minne tu kuanzia 18 Aprili hadi tarehe 17 Agosti mwaka wa 309 au 310. Alimfuata Papa Marcellus I.
Kulipotokea fujo miongoni mwa Wakristo wa Roma, Eusebius alifungwa na Kaisari Maxentius akafariki uhamishoni.
Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 26 Septemba.
[hariri] Maandishi yake
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eusebius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |