Papa Yohane VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Yohane VI alikuwa papa kuanzia 30 Oktoba, 701 hadi kifo chake tarehe 11 Januari, 705. Alizaliwa katika nchi ya Ugiriki. Alimfuata Papa Sergio I.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Yohane VI katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.