30 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1735 - John Adams, Rais wa Marekani (1797-1801)
- 1895 - Gerhard Domagk (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1939)
- 1895 - Dickinson Richards (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)
- 1900 - Ragnar Granit, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 1906 - Archibald Jordan, mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini
- 1928 - Daniel Nathans (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1978)
- 1937 - Seraphino Antao, mwanariadha kutoka Kenya
- 1960 - Diego Maradona, mchezaji mpira kutoka Argentina
- 1981 - Muna Lee, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 1654 - Go-Komyo, mfalme mkuu wa Japani (1643-1654)
- 1910 - Henri Dunant (mwanzishi Chama cha Kimataifa cha Msalaba Mwekundu, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1901)
- 1968 - Conrad Michael Richter, mwandishi kutoka Marekani
- 1975 - Gustav Hertz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1925)