17 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1404 - Uchaguzi wa Papa Innocent VII
- 2007 - John Njue, Askofu Mkuu wa Nairobi ameteuliwa kuwa kadinali.
Waliozaliwa [hariri]
- 1780 - Richard M. Johnson, Kaimu Rais wa Marekani (1837-1841)
- 1912 - Papa Yohane Paulo I (kwa jina la Albino Luciani)
- 1946 - Graca Machel, mke wa marehemu Samora Machel, na sasa mke wa Nelson Mandela
- 1977 - Andre Villas Boas, kocha wa mpira wa Ureno
- 1987 - Bea Alonzo, mwigizaji wa filamu kutoka Ufilipino
Waliofariki [hariri]
- 456 - Avitus, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 1849 - Frédéric Chopin, mtunzi wa muziki kutoka Poland
- 1934 - Santiago Ramón y Cajal (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1906)
- 1983 - Raymond Aaron, mwanafalsafa wa Ufaransa