Mae Jemison
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mae Carol Jemison (alizaliwa tarehe 17 Oktoba 1956) ni rubani mwanaaga wa Kimarekani. Ni pia Mmarekani mweusi wa kike wa kwanza aliyefika kwenye anga la nje mwaka 1992.