1987
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 1983 | 1984 | 1985 | 1986 | 1987 | 1988 | 1989 | 1990 | 1991 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1987 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1987 MCMLXXXVII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5747 – 5748 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1979 – 1980 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1436 ԹՎ ՌՆԼԶ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1408 – 1409 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1365 – 1366 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2042 – 2043 |
| - Shaka Samvat | 1909 – 1910 |
| - Kali Yuga | 5088 – 5089 |
| Kalenda ya Kichina | 4683 – 4684 丙寅 – 丁卯 |
- 18 Machi - Selemani Ndikumana, mchezaji mpira wa Kibelgiji kutoka Burundi
- 4 Aprili - Macdonald Mariga, mchezaji mpira kutoka Kenya
- 9 Aprili - Blaise Matuidi, mchezaji mpira wa Ufaransa
- 1 Mei - Saidi Ntibazonkiza, mchezaji mpira kutoka Burundi
- 27 Mei - Gervais Yao Kouassi, mchezaji mpira wa Cote d'Ivoire
- 26 Juni - Samir Nasri, mchezaji mpira kutoka Ufaransa
- 17 Oktoba - Bea Alonzo, mwigizaji wa filamu kutoka Ufilipino
- 17 Novemba - Kat DeLuna, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki [hariri]
- 22 Februari - Andy Warhol, msanii kutoka Marekani
- 27 Mei - John Howard Northrop (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
- 9 Juni - Elijah Masinde, mwanzilishaji wa Dini ya Musambwa
- 26 Agosti - Georg Wittig, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 11 Septemba - Peter Tosh (mwanamuziki wa rege)
- 21 Septemba - Jaco Pastorius, mwanamuziki kutoka Marekani
- 2 Oktoba - Peter Medawar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 9 Oktoba - William Murphy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934)
- 13 Oktoba - Walter Brattain (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956)
- 15 Oktoba - Thomas Sankara, Rais wa Burkina Faso (1983-1987), aliuawa
- 2 Desemba - Luis Leloir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1970
- 17 Desemba - Marguerite Yourcenar, mwandishi na mshairi kutoka Ubelgiji
Wikimedia Commons ina media kuhusu: