1993
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1990 1991 1992 - 1993 - 1994 1995 1996 |
[hariri] Matukio
- 1 Januari - Nchi ya Chekoslovakia inatengwa kuwa nchi mbili, yaani Ucheki na Slovakia.
[hariri] Waliozaliwa
[hariri] Waliofariki
- 11 Februari - Robert Holley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 20 Machi - Polykarp Kusch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1955)
- 24 Machi – John Hersey, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1945
- 13 Aprili – Wallace Stegner (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1972)
- 24 Aprili - Oliver Tambo, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 19 Juni - William Golding (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1983)
- 1 Novemba - Severo Ochoa (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959)

