John Hersey
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Hersey (17 Juni, 1914 – 24 Machi, 1993) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1945, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa riwaya yake A Bell for Adano ("Kengele kwa Adano").
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Hersey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |