1914
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | ►
◄◄ | ◄ | 1910 | 1911 | 1912 | 1913 | 1914 | 1915 | 1916 | 1917 | 1918 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1914 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
- 28. Juni: Kaisari-mteule Ferdinand wa Austria anauawa mjini Sarajevo.
- 28. Julai: Austria inatangaza hali ya vita dhidi ya Serbia.
- Agosti: vita ya Austria-Serbia inapanuka kuwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.
- 3 Septemba - Uchaguzi wa Papa Benedikto XV
- Oktoba: Milki ya Osmani inajiunga na vita upande wa Ujerumani.
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1914 MCMXIV |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5674 – 5675 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1906 – 1907 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1363 ԹՎ ՌՅԿԳ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1332 – 1333 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1292 – 1293 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1969 – 1970 |
| - Shaka Samvat | 1836 – 1837 |
| - Kali Yuga | 5015 – 5016 |
| Kalenda ya Kichina | 4610 – 4611 癸丑 – 甲寅 |
- 5 Februari - Alan Hodgkin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 22 Februari - Renato Dulbecco (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975)
- 31 Machi - Octavio Paz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1990)
- 30 Aprili – Vermont Royster (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1953)
- 19 Mei - Max Perutz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1962)
- 17 Juni – John Hersey, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1945
- 28 Oktoba - R.L.M. Synge (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952)
bila tarehe
- Tenzing Norgay, mpelelezi kutoka Nepal
Waliofariki[hariri]
- 16 Machi - Charles-Albert Gobat (mwanasiasa Mswisi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1902)
- 25 Machi - Frederic Mistral (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1904)
- 2 Aprili - Paul Heyse (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1910)
- 14 Juni - Adlai Stevenson, Kaimu Rais wa Marekani (1893-97)
- 21 Juni - Bertha von Suttner (mwandishi Mwaustria, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1905)
- 20 Agosti - Papa Pius X
Wikimedia Commons ina media kuhusu: