Richard Laurence Millington Synge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka R.L.M. Synge)
Richard Laurence Millington Synge

Richard Lawrence Millington Synge (28 Oktoba 191418 Agosti 1994) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mbinu za kutenganisha dutu zinazofanana. Mwaka wa 1952, pamoja na Archer John Porter Martin alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Laurence Millington Synge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.