1952
Kutoka Wikipedia
| Miaka: | 1949 1950 1951 - 1952 - 1953 1954 1955 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 15 Machi - Willy Puchner, msanii kutoka Austria
- 14 Mei - David Byrne, mwanamuziki wa Marekani
- 6 Juni - Ibrahim Lipumba, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 7 Juni - Orhan Pamuk (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2006)
- 8 Agosti - Jostein Gaarder, mwandishi Mnorwei
bila tarehe
- Yayi Boni, Rais wa Benin
- Charity Ngilu, mwanasiasa wa Kenya
[hariri] Waliofariki
- 6 Februari - Mfalme George VI wa Uingereza
- 19 Februari - Knut Hamsun (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1920)
- 22 Februari - Kaarlo Juho Stahlberg, Rais wa Ufini
- 4 Machi - Charles Scott Sherrington (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1932)
- 6 Mei - Maria Montessori, daktari na mwalimu kutoka Italia
- 18 Agosti - Mtakatifu Alberto Hurtado (padre Mkatoliki kutoka Chile)
- 29 Septemba - George Santayana, mwanafalsafa na mwandishi kutoka Hispania na Marekani
- 30 Septemba - Viscount Waldorf Astor
- 28 Oktoba - Billy Hughes (Waziri Mkuu wa Australia)
- 9 Novemba - Chaim Weizmann, Rais wa Israel
- 18 Novemba - Paul Eluard (mshairi Mfaransa)
- 26 Novemba - Sven Hedin, mpelelezi wa Asia ya Kati kutoka Sweden

