Mary Nagu
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mary Nagu (amezaliwa tar. 11 Mei 1952) ni mbunge wa jimbo la Hanang katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Mary Nagu (3 Juni 2008). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |