Michael Cunningham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Michael Cunningham mnamo 2007

Michael Cunningham (amezaliwa 6 Novemba 1952) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1999, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Hours.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Cunningham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.