14 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1643 - Louis XIV alikuwa mfalme wa Ufaransa akiwa na umri wa miaka minne tu
- 1811 - Nchi ya Paraguay inatangaza uhuru wake kutoka Hispania.
Waliozaliwa [hariri]
- 1928 - Che Guevara, mwanamapinduzi kutoka Argentina
- 1944 - George Lucas, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 1952 - David Byrne, mwanamuziki wa Marekani
- 1984 - Mark Zuckerberg, mwanzilishi mwenza wa Facebook
Waliofariki [hariri]
- 649 - Papa Theodor I
- 964 - Papa Yohane XII
- 1940 - Emma Goldman, mwanaharakati wa utawala huria kutoka Urusi na Marekani
- 1995 - Christian Anfinsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 2006 - Robert Merrifield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1984