1920
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | ►
◄◄ | ◄ | 1916 | 1917 | 1918 | 1919 | 1920 | 1921 | 1922 | 1923 | 1924 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1920 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 10 Januari - Shirikisho la Mataifa linaanza kazi yake.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1920 MCMXX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5680 – 5681 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1912 – 1913 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1369 ԹՎ ՌՅԿԹ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1339 – 1340 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1298 – 1299 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1975 – 1976 |
| - Shaka Samvat | 1842 – 1843 |
| - Kali Yuga | 5021 – 5022 |
| Kalenda ya Kichina | 4616 – 4617 己未 – 庚申 |
- 20 Januari - Federico Fellini, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 11 Machi - Nicolaas Bloembergen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981)
- 17 Juni - Francois Jacob, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 20 Juni - Amos Tutuola, mwandishi kutoka Nigeria
- 10 Julai - Owen Chamberlain (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959)
- 11 Julai - Yul Brynner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 29 Septemba - Peter Mitchell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1978
- 29 Oktoba - Baruj Benacerraf, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
- 31 Oktoba - Dedan Kimathi (kiongozi Mkenya wa Mau Mau)
- 13 Novemba - Jack Elam, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 6 Desemba - Dave Brubeck, mwanamuziki wa Marekani
- 6 Desemba - George Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967
Waliofariki [hariri]
- 7 Januari - Edmund Barton, Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia
- 16 Mei - Levi Parsons Morton, Kaimu Rais wa Marekani (1889-1893)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: