Jack Elam
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jack Elam |
|
|---|---|
|
|
|
| Jina la kuzaliwa | Jack Elam |
| Alizaliwa | 13 Novemba 1920, Miami, Arizona, Marekani |
| Kafariki | 20 Oktoba 2003 |
Jack Elam (alizaliwa tar. 13 Novemba ya mwaka wa 1920, kafariki dunia tar. 20 Oktoba ya mwaka wa 2003) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Elam pia aliwahi kuonekana saana katika filamu za western ya Italia, maarufu kama Spaghetti Western.
Ona pia [hariri]
Viungo vya Nje [hariri]
- Elam katika IMDB
- Wadey, Paul. (Oct. 23, 2003) Obituaries: Jack Elam Archetypal villain in film and TV westerns.
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jack Elam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
