Owen Chamberlain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Owen Chamberlain.


Owen Chamberlain (10 Julai, 192028 Februari, 2006) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alifanya utafiti wa fizikia ya kiini na kugundua vipande vingi vya atomu.

Mwaka wa 1959, pamoja na Emilio Segre alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Owen Chamberlain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine