1 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1605 - Uchaguzi wa Papa Leo XI
- 1979 - Nchi ya Iran inatangazwa kuwa Jamhuri ya Kiislamu.
Waliozaliwa [hariri]
- 1430 - Mehmed II, Sultani wa Milki ya Osmani
- 1815 - Otto von Bismarck, Chansella wa Dola la Ujerumani (1862-1890)
- 1865 - Richard Zsigmondy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1925)
- 1873 - Sergei Rachmaninoff, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1933 - Claude Cohen-Tannoudji, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1997
- 1940 - Wangari Maathai, mwanasiasa kutoka Kenya na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2004
- 1948 - Jimmy Cliff, mwanamuziki kutoka Jamaika
Waliofariki [hariri]
- 304 - Papa Marcellino
- 1933 - Charles Andler, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1968 - Lev Landau (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1962)