Charles Andler
Charles Philippe Théodore Andler (11 Machi 1866, Strasbourg – 1 Aprili 1933) alikuwa ni mwanafalsafa mwenye mchanganyiko wa Kijerumani na Kifaransa.
Yaliyomo |
Maisha [hariri]
Andler alizaliwa katika familia ya kiprotestanti katika jiji la Strasbourg.[1] Mwaka 1887 hadi 1888, Andler alishindwa kufikia mafanikio ya juu katika falsafa, maamuzi yaliyofikiwa na Jules Lachelier. ambaye alikuwa ni msimamizi na mkaguzi wa maswala ya falsafa, ambaye toka awali alionekana kuwa na mtazamo hasi juu ya filosofia ya Kijerumani. Baadae alibadilisha maamuzi ya kuchukua masomo ya falsafa ya ujerumani suala lililompelea kufaului katika kiwango cha juu kabisa katika darasa lakel. [2] Hatimaye Andler alifanikiwa kuwa profesa wa Kijerumani katika Sorbonne hii ikiwa mwaka 1901 na baadae chuo cha Collège de France mwaka 1926.
Kazi [hariri]
- Les origines du socialisme d'état en Allemagne, 1897
- Collection de Documents sur le Pangermanisme, 4 vols, 1915–1917
- Nietzsche, sa vie et sa pensée, 6 vols, 1920
- Vie de Lucien Herr (1864-1926), 1932
References [hariri]
Masomo zaidi [hariri]
- Ernest Tonnelat, Charles Andler: sa vie et son œuvre, 1937
External links [hariri]
- Shughuli au kuhusu Charles Andler katika maktaba ya WorldCat catalog
- (charle Andler):