29 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1670 - Uchaguzi wa Papa Klementi X
Waliozaliwa [hariri]
- 1876 - Zauditu, Malkia mtawala wa Uhabeshi
- 1893 - Harold Urey (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1934)
- 1899 - Duke Ellington, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 1901 - Hirohito, Mfalme Mkuu wa Japani
Waliofariki [hariri]
- 1951 - Ludwig Wittgenstein, mwanafalsafa kutoka Austria
- 1980 - Alfred Hitchcock, mwongozaji wa filamu kutoka Uingereza