Harold Urey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Harold Urey

Harold Clayton Urey (29 Aprili 18935 Januari 1981) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kugundua deuterium. Mwaka wa 1934 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harold Urey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.