5 Januari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Des - Januari - Feb | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
- 1846 - Rudolf Christoph Eucken (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1908)
- 1874 - Joseph Erlanger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944)
- 1938 - Ngugi wa Thiongo (mwandishi Mkenya)
Waliofariki[hariri]
- 1066 - Edward Muungamaji (Mfalme wa Uingereza, na Mtakatifu)
- 1933 - Calvin Coolidge, Rais wa Marekani (1923-1929)
- 1970 - Max Born (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954)
- 1979 - Charles Mingus, mwanamuziki wa Marekani
- 1981 - Harold Urey (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1934)
- 2010 - Beverly Aadland, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani