Edward Muungamaji
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Edward Muungamadini (kwa Kiingereza huitwa Edward the Confessor: takriban 1003 – 5 Januari, 1066) alikuwa mfalme wa Uingereza kuanzia mwaka 1042 hadi kifo chake.
Kama mfalme hakuwa na nguvu ya kutawala lakini maisha yake ya Kikristo yalikuwa mfano mwema kabisa.
Mwaka 1161 alitangazwa kuwa mtakatifu.
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Muungamaji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |