1066
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 10 | Karne ya 11 | Karne ya 12 | ►
◄ | Miaka ya 1030 | Miaka ya 1040 | Miaka ya 1050 | Miaka ya 1060 | Miaka ya 1070 | Miaka ya 1080 | Miaka ya 1090 | ►
◄◄ | ◄ | 1062 | 1063 | 1064 | 1065 | 1066 | 1067 | 1068 | 1069 | 1070 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1066 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Zulia ya picha ya Bayeux inaonyesha picha za mapigano ya Hastings 1066. Maandishi ya Kilatini yasema: Willelm Dux in magno .. (Mtemi William katika kubwa..)
Ulaya - Uingereza:
- 25 Septemba - Mapigano kwa daraja la Stamford (Uingereza): Mfalme Harold wa Uingereza anazuia jaribio la Waviking Wanorway la kuvamia Uingereza. Jeshi la Uingereza laelekea mara moja kwa mbio kusini dhidi ya Wanormandy.
- 14 Oktoba - Mapigano ya Hastings; jeshi lililochoka la Uingereza linashindwa na Wanormandy chini ya William Mshindi. Uingereza unatekwa na Wanormandy.
- 25 Desemba - William Mshindi wa Normandy anapokea cheo cha mfalme wa Uingereza.
Afrika:
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1066 MLXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 4826 – 4827 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1058 – 1059 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 515 ԹՎ ՇԺԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 458 – 459 |
| Kalenda ya Kiajemi | 444 – 445 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1121 – 1122 |
| - Shaka Samvat | 988 – 989 |
| - Kali Yuga | 4167 – 4168 |
| Kalenda ya Kichina | 3762 – 3763 乙巳 – 丙午 |
Waliofariki [hariri]
- 5 Januari - Edward Muungamaji (Mfalme wa Uingereza, na Mtakatifu)
- 25 Septemba - Mfalme Harald III wa Norway kwenye mapigano kwa daraja la Stamford
- 14 Oktoba - Mfalme Harold wa Uingereza kwenye mapigano ya Hastings
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikimedia Commons ina media kuhusu: